Rwanda Leo
Image default
AFYA HABARI HABARI KWA UFUPI SLIDE

DRC: Kisa cha Ebola chathibitishwa mjini Goma

Mjini Goma, mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo kumethibitisha kisa cha kwanza cha Ebola, ambapo kuna zaidi ya watu milioni moja wanaoishi.

Wizara husika imethibitisha kwamba mchungaji mmoja amekutiwa na virusi ya ugonjwa huo baada ya kufanyiwa uchunguzi katika kituo kimoja cha afia huko Goma punde alipowasili kwenye basi jana Jumapili. Wizara ya afia imesema nafasi ya kusambaa kwa ugonjwa huo ni ndogo.

 

@Rwandaleo.com

Maoni Husiano

ASILIMIA 24% YA WAAFRIKA HUTUMIA INTERNET

Leki Aimat

USALAMA WAHITAJI USHIRIKIANO-INTERPOL

Leki Aimat

RAIS KAGAME ZIARANI-UAE

Leki Aimat

Toa maoni