Rwanda Leo
Image default
HABARI INJILI

FAHAMU FAIDA 10 ZA KUOA MWANAMKE MCHA MUNGU

1.       Maombi ya mwanamke yaweza kufungua familia toka kwenye vifungo vya Ibilisi

2 .      Maombi ya mwanamke yaweza kufungua mpaka kizazi cha nne.

3 .      Maombi ya mwanamke yaweza kuhusisha upya nafsi na roho hata palipo katika tamaa.

  1.      Maombi ya mwanamke ni ulinzi wa familia yako
  2.      Maombi ya mwanamke yaweza kuwa ni patanisho la familia
  3.      Maombi yamwanamke ni toba kwa familia
  4.      Maombi ya mwanamke ni baraka na mafanikio ya familia
  5.      Maombi ya mwanamke ni ngao imara katika familia
  6.      Maombi ya mwanamke yaleta faraja ya familia
  7.      Maombi ya mwanamke yaondoa laana za kurithi

Mwanamke, usichoke kuomba maana wewe ni  mlinzi wa familia yako,  kwa hiyo yakupasa kupigana vita katika ulimwengu wa roho na si ulimwengu wa mwili. “Kesheni  kwa kuomba.

 

@RwandaLeo

Maoni Husiano

Uganda: wanafunzi wa chuo kikuu cha Makerere wamefanya maandamano

Leki Aimat

UWAZI, MAWASILIANO NA TAKWIMU NI MSINGI-RAIS KAGAME

Leki Aimat

Mwanamke kutoka Marekani ataka kumkuta Rais Kagame

Leki Aimat

Toa maoni