Rwanda Leo
Image default
HABARI KWA UFUPI

KIGALI: MAABARA KUHUSU UBUNIFU WA TEKNOLOJIA YAANZISHWA

Jijini Kigali Rwanda imeanzishwa maabara ya kisasa ambayo itatumika kama jukwaa la ubunifu kwenye sekta ya sayansi na teknolojia. Maabara hii  maarufu kama Co-Creation Hub yenye makao yake nchini Nigeria ina mpango wa kuhakikisha inatatua changamoto kadhaa zinazolikabili bara la Afrika mathalan kwenye suala la ubunifu wa ajira miongoni mwa vijana kwenye sekta ya teknolojia.

 

@Rwanda Leo

Maoni Husiano

146 WAUAWA BURIKINAFASSO

Leki Aimat

Rwanda:Bwana arusi amuacha mkewe kanisani akakimbia

Leki Aimat

Rwanda: Mwanamke asema alivyofanya Nchini Kuwait

Leki Aimat

Toa maoni