Rwanda Leo
Image default
HABARI HABARI KWA UFUPI SLIDE

Kigali: Mfanyakazi wa ndani amteka nyara mtoto wa miaka miwili  

Msichana wa miaka 19 amemtaka  nyara mtoto wa miaka miwili kwa lengo la kulipwa fidia.

 Wazazi wa mtoto wamesema alitimiza wiki mbili akifanya kazi nyumbani na hawakuwa na deni lake hadi jana alipo mteka nyara mtoto wao wa kike.

Mfanyakazi wa ndani

 Msemaji wa Polisi mjini Kigali, CP Marie Gorette Umutesi amehakikisha tarifa hizo kwa kudai msichana amekamatwa akijaribu kuelekea kwao kusini mwa Rwanda akiwa na mtoto.

Mtoto amepelelekwa hospitali kufanyiwa uchunguzi wa hali ya maisha yake.

 

@Rwandaleo

Maoni Husiano

RWANDA NI SALAMA-WAZIRI WA MASHAURI YA KIGENI

Leki Aimat

UWAZI, MAWASILIANO NA TAKWIMU NI MSINGI-RAIS KAGAME

Leki Aimat

KUWENI MFANO BORA-KAGAME AYAASA MAJESHI

Leki Aimat

Toa maoni