Rwanda Leo
Image default
HABARI HABARI KWA UFUPI SLIDE

Kigali: Mvulana na ndugu ye wa kike waka nje wiki mbili baada ya nyumba yao kubomolewa

Chance Hitamoyesu na nduguye wa kike, Soleil Kiberinka wanaishi nje kwa wiki mbili baada ya nyumba yao kubomolewa na viongozi Wilayani Kicukiro, Mjini Kigali.

Mama mzazi wao, Ancilla Mukayisenga ni mfungwa na mjomba wao aliyojenga nyumba hiyo, alifariki ukimbizini nchini Ufaransa.

Nyumba hiyo kama wanavyoeleeza, ilibomolewa juu ya ugombi wa ardhi inayokuwemo.

“ Tumekaa hapa wiki mbili bila viongozi kutujali.”

Viongozi wamesema wanatatua suala hilo kuhusu uwenyeji wa ardhi hiyo.

@Rwandaleo.com

Maoni Husiano

Tanzania: Mwanamke ajifanyia upasuaji na kutoa mtoto

Leki Aimat

Rwanda: Baada ya kuadhibiwa na kanisa Katolika Padri afunga ndoa

Leki Aimat

KUWENI MFANO BORA-KAGAME AYAASA MAJESHI

Leki Aimat

Toa maoni