Rwanda Leo
Image default
BURUDANI HABARI HABARI KWA UFUPI SLIDE

Kigali: Wazazi wamuacha mtoto wa mwaka mmoja baani

Mwanamke na mumewe wamefikishwa kwa kituo cha polisi jana asubui baada ya kuacha mwana wao wa mwaka mmoja na nusu baani.

Imeripotiwa mwanamume, Jean alikwenda baani baada ya kugombana na mkewe, Jacqueline.

Baada ya kujua kwamba mumewe amekwenda baani kunywa pombe, Jacqueline alikuja kwa hasira na kumuachia mtoto  na kuenda zake.

Jean pia amemuacha mtoto baani ili kumuafa mkewe.

Walinzi wa usiku wamewakamata. Polisi imewashauri kurudi nyumbani na kuapatia mtoto wao.

 

@Rwandaleo.com

Maoni Husiano

ASILIMIA 24% YA WAAFRIKA HUTUMIA INTERNET

Leki Aimat

RWANDA: SHULE ZA MSINGI ZA BWENI KUFUNGWA-WIZARA YA ELIMU

Leki Aimat

Mwanamke kutoka Marekani ataka kumkuta Rais Kagame

Leki Aimat

Toa maoni