Rwanda Leo
Image default
AFYA HABARI

Mgonjwa aliyelazwa miaka 20 amebakwa na kutwikwa mimba

Muuguzi huko Marekani anahutumiwa kubaka mke anayemaliza miaka 20 hospitalini “Hacienda HealthCare”. Nathan Sutherland wa umri wa miaka 36 anayedaiwa kufanya kosa hili hakubali kuwa ndiye aliye mbaka mke huyu.

Mgonjwa  huyu ambaye alibakwa na muuguzi  amemaliza miaka 20 hospitalini “Hacienda HealthCare”. Kinacho endelea ni kwababu waaguzi wengine hawakugundua kuwa mke huu amechua mimba yaani ujauzito na tukia hilo likashangaza na kumuona anapo jifungua mtoto.

Baada ya kujifungua walianza semezana kati yao ya kuwa nani ambaye alifanya mapenzi pamoja na mke huo mgonjwa, alipokosekana ndipo wakaamua kupima damu ya mtoto huyo (DNA) ili wagundue mtu ambaye alifanya mapenzi pamoja naye na kwa mwisho aligunduliwa kuwa ni damu ya muuguzi Nathan Sutherland.

Nathan Sutherland amekata kukubali kosa hili pia amefukuzwa kazini katika Hacienda HealthCare. Kesi hio  imefikishwa mahamani mwa Dave Gregan.

Mwakilishi wa Nathan amesema kuwa wendesha mashtaka watafanya kazi yao vizuri na anatumaini kuwa watatatua tatizo hili vizuri.

Dave ameongeza kuwa mteja wake ataenda kupimisha damu katika mabaara mengine ili wahakikishe kama damu ya mtoto huyu inafanana na damu ya muuguzi Nathan Sutherland.

Jeri Williams, komanda wa polisi sehemu za Phoenix amesema kwamba inaonekana kuwa kuna wagonjwa wengine wanaobakwa lakini wakashindwa kusema kutokana na maradhi yao.

 

Munyarugendo Athanase@rwandaleo.com

Maoni Husiano

Jina ulilopewa linaweza kuathiri tabia yako

Leki Aimat

Burundi:  212 wapoteza maisha mwaka 2019

Leki Aimat

ASILIMIA 24% YA WAAFRIKA HUTUMIA INTERNET

Leki Aimat

Toa maoni