Rwanda Leo
Image default
HABARI INJILI SLIDE

MNACHUKULIANA NA WAJINGA KWA FURAHA

NINYI, KWA KUWA MNA AKILI (YESU ALIKUJA ATUPE AKILI), MNACHUKULIANA NA WAJINGA KWA FURAHA. 2kor.11;19-21,Ebr.5;1-2, Kuhani awezaye kuchukuliana kwa upole wao WANAOPOTEA na wao WASIOJUA.

Sisi ni mzao Mteule,Ukuhani wa Kifalme,Taifa Takatifu,watu wa Milki ya Mungu,tupate kuzitangaza fadhili zake yeye aliyetuita tutoke gizani, tukaingia katika nuru yake ya ajabu.

1Petr.2;9-10. Twasema, twaonekana kama wadanganyao lakini tu watu wa kweli, tusemapo utusingizia kuwa tumesema Uongo ila TUNACHUKULIANA NA WAJINGA KWA FURAHA, Maana Yesu ametupa AKILI katika mambo yote ili tujue jinsi ya kufanya. 2Tim.2;7. Maana twachukuliana na mtu akitutia utumwani, akitumeza (yaani anasema kwa kutuzidi kusema), akituteka nyara, Akijikuza , akitupiga usoni. 2kor.11;20-21. Paulo anasema, Nanena kwa jinsi ya kujidhili kana kwamba sisi tulikuwa dhaifu. 1kor.9;22,kwa wanyonge nalikuwa mnyonge, ili niwapate wanyonge.

Nimekuwa hali zote kwa watu wote, ili kwa NJIA ZOTE NIPATE KUWAOKOA WATU. 1Tim.4;15-16, UYATAFAKARI hayo;ukae katika hayo; ili KUENDELEA KWAKO KUWE DHAHIRI KWA WATU WOTE…….,

Dumu katika mambo hayo; maana kwa kufanya hivyo Utajiokoa nafsi yako na wale Wakusikiao pia.Ndo maanake twaweza kuchukuliana na WAJINGA KWA FURAHA.”AMEN”.

Maoni Husiano

Ninyi ni uzao wa nyoka, maneno huonyesha hali ya moyo

Leki Aimat

Mwili wa Etienne Tshisekedi kuwasili DR Congo leo kwa mazishi

Leki Aimat

Omba Mungu akupe mabawa kama ya Tai

Leki Aimat

Toa maoni