Rwanda Leo
Image default
BURUDANI HABARI SIASA SLIDE

Mwanamke kutoka Marekani ataka kumkuta Rais Kagame

Mwanamke kutoka Marekani, mfanyabiashara Sonia Zuniga ameonesha haja yake kumkuta Rais Paul Kagame wa Rwanda ili kuzungumza biashara na kumshukuru.

Sonia amelezea Bwiza TV kuwa anataka kukutana na Rais Kagame kwa kumshukuru alivyoisaidia nchi yake kupiga hatua ya maendeleo.

Sonia ambaye ni mkazi eneo la Delrion Texas karibu na mpaka wa Mexico amesema alishangazwa na maendeleo, usafi na usalama vilivyo nchini.

“ Kama nilivyozoea nchi, miaka 25 iliyopita ni michache. Maendeleo yanavutia. Nataka kukutana naye [Rais Kagame].” Amesema

Sauti yake Sonia Zuniga akieleza anavyotaka kumkuta Rais Kagame.

 

@Rwandaleo.com

Maoni Husiano

RWANDA: QATAR NA RWANDA ZAZIDISHA USHIRIKIANO KWENYE SEKTA YA SHERIA

Leki Aimat

Rais Kagame aeleza mwelekeo mpya wa ushirikiano na Ufaransa

Leki Aimat

RWANDA YATANGAZA NOTI MPYA KATIKA SARAFU YAKE

Leki Aimat

Toa maoni