Rwanda Leo
Image default
HABARI KWA UFUPI SIASA SLIDE

Naongoza Uganda kama jamaa yangu-Raisi Museveni

Raisi wa jamhuri ya Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, ijuma ya wiki nenda aliwaambia raia ambao anawaongoza jinsi anavyo ongoza nyumba yake kwa sababu anahakikisha kuwaambia na ukweli jinsi iwezekanavyo. 

Rais Museveni ametangaza hayo wakati walikuwa mjini Tororo, wakati walikua wakisherehe siku kuu ya myaka 33 chama chake NRM kinamaliza kwenye madaraka na utawala.

Raisi wa jamhuri ya Uganda , Yoweri Kaguta Museveni

Museveni ambeomba wapinzani wake akisema wawe wakisema mambo ya muhimu kwa raia wa Uganda na waache usumbufu bure kwa sababu wanamuchosha sana kwa kuamua.

Eti “ Naongoza Uganda kama jamaa yangu. Kila mara nawaambia watoto wangu ukweli. Siwezi kupangilia mambo mazuri jamaa yangu, baada nipangiliye mabaya raia wangu wa Uganda.

 

Leki@rwandaleo.com

Maoni Husiano

UWAZI, MAWASILIANO NA TAKWIMU NI MSINGI-RAIS KAGAME

Leki Aimat

Rwanda: Baada ya kuadhibiwa na kanisa Katolika Padri afunga ndoa

Leki Aimat

Abdel Fattah al-Sissi, mwenyekiti mpya wa umoja wa Afrika

Leki Aimat

Toa maoni