Rwanda Leo
Image default
HABARI HABARI KWA UFUPI INJILI

Ninyi ni uzao wa nyoka, maneno huonyesha hali ya moyo

“Ili upate matunda mazuri lazima uwe na mti mzuri; ukiwa na mti mbaya na matunda yake yatakuwa mabaya. Kwa maana mti hutambulikana kwa matunda yake. Ninyi uzao wa nyoka! Mnawezaje kunena mema wakati ninyi ni waovu? Kwa maana mtu husema yaliyojaa moyoni mwake. Mtu mwema hutoa yaliyo mema kutokana na hazina ya wema uliohifadhiwa ndani yake; na mtu mwovu hutoa yaliyo maovu kutokana na hazina ya uovu uliohifadhiwa ndani yake. Matayo 12:33-35

 

@Rwandaleo.com

Maoni Husiano

Tanzania: Mwanamke ajifanyia upasuaji na kutoa mtoto

Leki Aimat

KUWENI MFANO BORA-KAGAME AYAASA MAJESHI

Leki Aimat

RWANDA: SHERIA ZA UKOLONI ZAPIGWA MARUFUKU

Leki Aimat

Toa maoni