Rwanda Leo
Image default
HABARI SLIDE

Prof.Sam Rugege aomba wazalendo wa Nyagatare kuonyesha mikono yao ili rushwa imalizike

Prof.Sam Rugege wakati ambapo alimaliza week ya kuhadharisha rushwa aliwaonya wazalendo wa wilaya ya Nyagatare akawashauri kuonyesha mikono yao katika kugombana na suala la Rushwa .

Prof.Sam Rugege pia amewaonya majaji kutokubali kupokea rushwa kwa kuwa inaharibu majina yao. Kiongozi wa mahakama pia aliwambia wazalendo wa wilaya ya Nyagatare kutokubali kutoa rushwa na kutoa habari wakati ambapo wanamuona mtu ambaye anaomba rushwa.

Aliongeza kuwa mtu ambaye anatoa habari ambapo rushwa ipo hawawezi kuweka nje jina lake.

Prof.Sam Rugege pia aliwambia raia wa Nyagatare kuwa pesa ambazo zinatoka kupitia kwa Rushwa ni pesa ambazo zingeweza kutumiwa kujenga miundo mbino tofauti kama hospitali,shule pia na barabara.

“Pesa zile ambazo zinatolewa kupitia Rushwa ni pesa ambazo zingeweza kutumiwa kuwapatia shule,barabara n.k kwa hayo ni lazima mutoe habari wakati ambapo mmemuona mtu Fulani anayetoa ou kupokea Rushwa.”Prof.Sam Rugege asema

Prof.Sam Rugege pia aliwambia majaji kutokuomba rushwa mahakamani kwa kuwa mambo haya huhalibu majina yao pia wazalendo hupoteza matumaini kwao.

Katika wiki ya kuhadhirisha rushwa majaji hushuka chini kuwazulu raia wakawasaidia kutatua matatizo mbalimbali yanayohusiana na utoaji ou upokeaji wa rushwa na kuamua namna  rushwa inavyoweza kumalizika chini pote.

Prof.Sam Rugege amesema kuwa Rwanda iko katika nchi ambazo rushwa haipatikana sana katika bara la Africa na duniani kwa ujumla lakini ameongeza kuwa hawawezi kusimama kuhadhirisha suala hili la rushwa.

 

Athanase Munyarugendo@Rwandaleo.com

Maoni Husiano

Rwanda: Msanii shoga wa nyimbo za injili atalindwa kama raia wengine

Leki Aimat

Kigali: Mvulana na ndugu ye wa kike waka nje wiki mbili baada ya nyumba yao kubomolewa

Leki Aimat

Rwanda:Bwana arusi amuacha mkewe kanisani akakimbia

Leki Aimat

Toa maoni