Rwanda Leo
Image default
HABARI HABARI KTK PICHA SIASA SLIDE

Rais Kagame aeleza mwelekeo mpya wa ushirikiano na Ufaransa

Rais wa Rwanda, Paul Kagame amesema ushirikiano kati ya Rwanda na Ufaransa hauna budi kupata mwelekeo mpya.

Kwenye ziara yake ya kikazi nchini humo, Kagame amesema ushirikiano wa nchi mbili haupashwi kujengewa kwa yaliyopita.

“ Hatutaki kuishi katika yaliyopita. Tunatanga kuangalia siku zijazo kwa kulenga maendeleo yatu.” Kagame amesema

“ Leo ni bahati kwa Rwanda na Ufaransa kuungana mkono na kutatua masuala ya yaliyopita kwa upande mwingine na tukaendelea.” Ameongeza: Rais Kagame ameeleza kuna mambo yanayohitaji kubalika kama vile msaada.

 

@RwandaLeo

Maoni Husiano

Mgonjwa aliyelazwa miaka 20 amebakwa na kutwikwa mimba

Leki Aimat

UWAZI, MAWASILIANO NA TAKWIMU NI MSINGI-RAIS KAGAME

Leki Aimat

Huye: Utapiamlo ungali changamoto

Leki Aimat

Toa maoni