Rwanda Leo
Image default
SIASA SLIDE

Rais Kagame kukutana na Nkurunziza baada ya muda mrefu

Rais Kagame Paul wa Rwanda na mwenzake wa Burundi, Pierre Nkurunziza watakutana kesho tarehe 8 Agosti mwaka huu baada ya miaka 4 bila hilo kutokea.

Inatarajiwa kwamba wawili watakutana wakati sherehe ya kuanzisha rasmi maabara ya mambo ya ukulima Mjini Bukavu, nchini RDC.

Rais Kagame na Nkurunziza

Kwa mujibu wa matandao diaspordc.com  kwenye sherehe hiyo kutakuwepo viongozi kutoka Benki ya Afrika ya Maendeleo (BAD) na wa Benki ya Dunia.

Atakuwepo pia Rais wa DRC, Felix Tshisekedi kwenye sherehe.

Rwanda haijahakikisha kama Rais Kagame atahuduhuria, ila inavyojulikana ni kuwa kuna msuguano kati ya Rwanda na Burundi tangu mwaka 2015 juu ya manduzi yaliyoshindwa kufua dafu.

Burundi ilitangaza Rwanda ni adui wake. Pia miaka nenda rudi imepita Rais Nkurunziza hatoki nchini mwake.

 

@Rwandaleo.com

Maoni Husiano

Tanzania: Mwanamke ajifanyia upasuaji na kutoa mtoto

Leki Aimat

DRC: Kundi la Mayimayi wameamua kuweka silaha chini

Leki Aimat

Makanisa mengi ya leo hayana waaminifu kama Kelebu

Leki Aimat

Toa maoni