Rwanda Leo
Image default
HABARI HABARI KWA UFUPI SLIDE

Rubavu/Nyarugenge: Wawili wakamatwa katika msako  madawa ya kulevya

 Msako wa polisi katika  wilaya za Rubavu na Nyarugenge palifanyika msako kuhusu walanguzi wa madawa ya kulevya na vileo vya aina nyingine.Ni msako uliomalizika huku ukiwaacha wakikamatwa watu wawili na kilo 125 za bangi zikichomwa moto.

Msemaji wa polisi jimbo la Magharibi, Inspekta mkuu wa polisi (CIP) Innocent Gasasira, alisema kwamba madawa haya ya  kulevya na wamiliki wake walikamatwa kufuatia juhudu za polisi na wananchi kwa ushirikiano na kitengo cha kupambana na madawa ya kulevya katika polisi ya taifa maarufu kama Anti-Narcotics Units,(ANU).

 

@RwandaLeo

Maoni Husiano

ASILIMIA 24% YA WAAFRIKA HUTUMIA INTERNET

Leki Aimat

RWANDA: MIKUTANO YA KIMATAIFA  CHACHU YA MAENDELEO

Leki Aimat

Rwanda: Serikali yatangaza namna ya kutatua suala la uhaba wa simenti

kayre

Toa maoni