Rwanda Leo
Image default
HABARI HABARI KWA UFUPI SIASA SLIDE

Rwanda itaanza kupokea wakimbizi kutoka Libya

Rais Paul kagame wa Rwanda alitoa matamshi hayo kwenye hotuba yake ya Jumanne kwa wajumbe wa kikao cha baraza kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York. Mkutano ambao hufanyika kila mwaka na kujadili masuala mbali mbali ikiwemo usalama, afya, elimu, mabadiliko ya hali ya hewa na mengineyo.

Rais Paul Kagame

Rais wa Rwanda, Paul Kagame amesema nchi yake itaanza hivi karibuni kupokea wakimbizi kutoka nchini Libya kufuatia makubaliano waliyofikia kati ya serikali yake na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi-UNHCR.

Kagame ni miongoni mwa viongozi wa mataifa Duniani wanaohudhuria kikao cha kila mwaka cha baraza kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York nchini Marekani.

 

@RwandaLeo

Maoni Husiano

KUWENI MFANO BORA-KAGAME AYAASA MAJESHI

Leki Aimat

Nyamagabe: Mto wa Mushishito huharibu mavuno ya wakulima

Leki Aimat

RWANDA: QATAR NA RWANDA ZAZIDISHA USHIRIKIANO KWENYE SEKTA YA SHERIA

Leki Aimat

Toa maoni