Rwanda Leo
Image default
HABARI HABARI KWA UFUPI SIASA SLIDE

Rwanda: Waziri wa sheria kapigwa faini na trafiki

Wakati waziri wa Sheria Rwanda katoka Jimbo Mashariki akielekea Kigali alipigwa picha na camera za tracif police na kuomba faini.

Waziri wa Sheria alikua akitoka jimbo hilo kuwatazama wanawake waliofungwa wakishutumiwa kufanya ubiashara wa dawa za kulevya.

Wakati gari la Waziri kazidi uharaka wa gari barabarani, camera za traffic kapicha na katumiwa ujumbe kwa ajili ya hayo na kujulishwa kiwango cha faini.

Kwenye ukarasa wake wa twitter kasema kuwa amepata ujumbe na kujulishwa siku ya mwisho kwa malipo ya faini ikiwa tarehe 18/8/2019, na kasema kuwa atalipa garama hiyo.

Waziri hakusikitika kwa ajili ya hayo ingalao police wapo miongoni mwa wale ambao anawaongoza.

 

@Rwandaleo.

Maoni Husiano

Mombasa: Gavana Hassan Joho amewapeleka kotini wanasiasa 4

Leki Aimat

Jina ulilopewa linaweza kuathiri tabia yako

Leki Aimat

Rwanda: Baada ya kuadhibiwa na kanisa Katolika Padri afunga ndoa

Leki Aimat

Toa maoni