Rwanda Leo
Image default
BURUDANI HABARI HABARI KWA UFUPI SLIDE

Rwanda:Bwana arusi amuacha mkewe kanisani akakimbia

Katika jimbo la Magharibi, Bwana harusi, Innocent Murwanashyaka, mkazi Wilayani Nyamasheke amekimbia na kumuacha mkewe Gloriose Nyiransabimana kanisani.

Mashahidi kwa hali ya kushangaa wamesema kuwa  Murwanashyaka alikimbia bila kueleza sababu yake.

Majirani wamesema kua hao wawili walikuwa na mtoto na wakiishi miaka miwili pamoja kabla ya kuamua kufunga ndoa kikiristo.

Imeripotiwa kwamba walikuwa na ugomvi husika na mali.

Viongozi wa ngazi za chini wameeleza mwanamke amerudi kwao ili waanze kutatua kutoelewana katika familia.

 

 

@Rwandaleo.com

Maoni Husiano

58 WALAZWA HOSPITALI BAADA YA KULA SUMU HARUSINI

Leki Aimat

RWANDA: RAIS KAGAME AKIRI KUNA DOA KATI YAKE NA UGANDA

Leki Aimat

RWANDA: RAIS KAGAME AWAASA VIONGOZI DHIDI YA UMASKINI

Leki Aimat

Toa maoni