Rwanda Leo
Image default
BURUDANI

Warsha ya RDB kuhusu Hatimiliki

Katika ziku tatu zilizopita kwenye hoteli Lemigo , mjini  Kigali zaidi ya watu hamsini kutoka asasi na wadau mbalimbali ikiwa ni pamoja na RURA, RIB, RALC , RMC, RGB, RSAU.RDB pamoja na Mahakimu kutoka sehemu mbalimbi za nchi hii, wanavyombo vya habari, radio, TV na wenye mahoteli, migahawa , wenye baa na wasanii walikusanyika.

Lengo la kukusanyika ilikuwa kwa ajili ya kujadiliana kuhusu Hatimiliki , ” copyright ” nchini Rwanda , Africa na kimataifa Kwa jumla.

Watalaamu kutoka RDB, RSAU wakishirikiana na Mtalaamu mkongwe na gwiji aliyebobea katika maswala haya mbotswana kutoka shirika la NORCODE, wamebadilishana mawazo, na kukubaliana kuhusu njia nzuri na mikakati ya kufuata na kueneza Sheria ya 2009.

Usani unaolengwa ni pamoja na nyimbo, uandishi wa vitabu, sinema na uchoraji n.k.

 

Imeandikwa na Profesa Pacifique Malonga

Maoni Husiano

Uhaba wa maji wajitokeza kaskazini mwa Rwanda

kayre

Uganda: wanafunzi wa chuo kikuu cha Makerere wamefanya maandamano

Leki Aimat

GICUMBI: WAWILI WAPOTEZA MAISHA

Leki Aimat

Toa maoni